Waroma 9:7 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 9:7 BHN (Biblia Habari Njema)
Wala si wazawa wote wa Abrahamu ni watoto wake wa kweli. Ila, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Wazawa wake watatokana na Isaka.”
Shirikisha
Waroma 9 BHNWaroma 9:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hawawi wote wana kwa kuwa wazao wa Ibrahimu, bali, Katika Isaka wazao wako wataitwa
Shirikisha
Waroma 9 SUVWaroma 9:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wala hawawi wote wana kwa kuwa wazawa wa Abrahamu, bali, Katika Isaka wazawa wako wataitwa
Shirikisha
Waroma 9 SRUVWaroma 9:7 NEN (Neno)
Wala hawawi wazao wa Abrahamu kwa sababu wao ni watoto wake, lakini: “Uzao wako utahesabiwa kupitia kwake Isaka.”
Shirikisha
Waroma 9 NEN