Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Waroma 9:32 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 9:32 BHN (Biblia Habari Njema)

Kwa nini? Kwa sababu walitegemea matendo yao badala ya kutegemea imani. Walijikwaa juu ya jiwe la kujikwaa

Shirikisha
Waroma 9 BHN

Waroma 9:32 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa sababu gani? Kwa sababu hawakuifuata kwa njia ya imani, bali kana kwamba kwa njia ya matendo. Wakajikwaa juu ya jiwe lile likwazalo

Shirikisha
Waroma 9 SUV

Waroma 9:32 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa sababu gani? Kwa sababu hawakuifuata kwa njia ya imani, bali kana kwamba kwa njia ya matendo. Wakajikwaa juu ya jiwe lile likwazalo

Shirikisha
Waroma 9 SRUV

Waroma 9:32 NEN (Neno)

Kwa nini? Kwa sababu hawakuitafuta kupitia kwa imani bali kupitia kwa matendo. Wakajikwaa kwenye lile “jiwe la kukwaza”.

Shirikisha
Waroma 9 NEN