Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 9:3 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 9:3 BHN (Biblia Habari Njema)

kwa ajili ya ndugu zangu walio wa taifa langu! Kama ingekuwa kwa faida yao, ningekuwa radhi kulaaniwa na kutengwa na Kristo.

Shirikisha
Waroma 9 BHN

Waroma 9:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa maana ningeweza kuomba mimi mwenyewe niharimishwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu, jamaa zangu kwa jinsi ya mwili

Shirikisha
Waroma 9 SUV

Waroma 9:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa maana ningeweza kuomba mimi mwenyewe niharimishwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu, jamaa zangu kwa jinsi ya mwili

Shirikisha
Waroma 9 SRUV

Waroma 9:3 NEN (Neno)

Kwa maana ningetamani hata mimi nilaaniwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu hasa, wale walio wa kabila langu kwa jinsi ya mwili

Shirikisha
Waroma 9 NEN