Waroma 9:27 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 9:27 BHN (Biblia Habari Njema)
Naye nabii Isaya, kuhusu Israeli anapaza sauti: “Hata kama wazawa wa Israeli ni wengi kama mchanga wa pwani, ni wachache tu watakaookolewa
Shirikisha
Waroma 9 BHNWaroma 9:27 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Isaya naye atoa sauti yake juu ya Israeli, kusema, Hesabu ya wana wa Israeli, ijapokuwa ni kama mchanga wa bahari, ni mabaki yao tu watakaookolewa.
Shirikisha
Waroma 9 SUVWaroma 9:27 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Isaya naye atoa sauti yake juu ya Israeli, kusema, Hesabu ya wana wa Israeli, ijapokuwa ni kama mchanga wa bahari, ni mabaki yao tu watakaookolewa.
Shirikisha
Waroma 9 SRUVWaroma 9:27 NEN (Neno)
Isaya anapaza sauti na kusema kuhusu Israeli kwamba: “Ingawa idadi ya Waisraeli ni wengi kama mchanga wa pwani, ni mabaki yao tu watakaookolewa.
Shirikisha
Waroma 9 NEN