Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Waroma 9:24 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 9:24 BHN (Biblia Habari Njema)

Maana sisi ndio hao aliowaita, si kutoka miongoni mwa Wayahudi tu bali pia kutoka kwa watu wa mataifa mengine.

Shirikisha
Waroma 9 BHN

Waroma 9:24 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

ndio sisi aliotuita, si watu wa Wayahudi tu, ila na watu wa Mataifa pia?

Shirikisha
Waroma 9 SUV

Waroma 9:24 SRUV (Swahili Revised Union Version)

ndio sisi aliotuita, si watu wa Wayahudi tu, ila na watu wa Mataifa pia?

Shirikisha
Waroma 9 SRUV

Waroma 9:24 NEN (Neno)

Hivi vyombo ni sisi, ambao pia alituita, sio kutoka kwa Wayahudi peke yao, bali pia kutoka kwa watu wa Mataifa.

Shirikisha
Waroma 9 NEN