Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Waroma 9:10 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 9:10 BHN (Biblia Habari Njema)

Tena si hayo tu, ila pia Rebeka naye alipata mapacha kwa baba mmoja, yaani Isaka, babu yetu.

Shirikisha
Waroma 9 BHN

Waroma 9:10 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wala si hivyo tu, lakini Rebeka naye, akiisha kuchukua mimba kwa mume mmoja, naye ni Isaka, baba yetu

Shirikisha
Waroma 9 SUV

Waroma 9:10 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wala si hivyo tu, lakini Rebeka naye, akiisha kuchukua mimba kwa mume mmoja, naye ni Isaka, baba yetu

Shirikisha
Waroma 9 SRUV

Waroma 9:10 NEN (Neno)

Wala si hivyo tu, bali pia watoto aliowazaa Rebeka walikuwa na baba huyo huyo mmoja, yaani baba yetu Isaka.

Shirikisha
Waroma 9 NEN