Waroma 8:7-8
Waroma 8:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, mwenye kutawaliwa na fikira za mwili ni adui wa Mungu; haitii sheria ya Mungu, wala hawezi kuitii. Watu wanaotii matakwa ya mwili hawawezi kumpendeza Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii. Wale waufuatao mwili hawawezi kumpendeza Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 8