Waroma 8:27
Waroma 8:27 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na yeye aichunguzaye mioyo aijua nia ya Roho ilivyo, kwa kuwa huwaombea watakatifu kama apendavyo Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye Mungu aonaye mpaka ndani ya mioyo ya watu, anajua fikira ya huyo Roho; kwani huyo Roho huwaombea watu wa Mungu kufuatana na mapenzi ya Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 8