Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 8:24 - Compare All Versions

Waroma 8:24 BHN (Biblia Habari Njema)

Maana kwa matumaini hayo sisi tumekombolewa. Lakini tumaini halina maana ikiwa tunakiona kile tunachotumainia. Maana ni nani anayetumaini kile ambacho tayari anakiona?

Shirikisha
Waroma 8 BHN

Waroma 8:24 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa maana tuliokolewa kwa tumaini; lakini kitu kilichotumainiwa kikionekana, hakiwi tumaini tena. Kwa maana ni nani anayekitumainia kile akionacho?

Shirikisha
Waroma 8 SRUV

Waroma 8:24 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa maana tuliokolewa kwa taraja; lakini kitu kilichotarajiwa kikionekana, hakuna taraja tena. Kwa maana ni nani anayekitarajia kile akionacho?

Shirikisha
Waroma 8 SUV

Waroma 8:24 NEN (Neno)

Kwa kuwa tuliokolewa kwa tumaini hili. Lakini kama kinachotumainiwa kikionekana, basi hakiwi tumaini tena. Je, kuna mtu anayetumaini kupata kitu alicho nacho tayari?

Shirikisha
Waroma 8 NEN