Waroma 8:11
Waroma 8:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Ikiwa Roho wa Mungu aliyemfufua Kristo kutoka wafu anaishi ndani yenu, basi huyo aliyemfufua Kristo kutoka kwa wafu ataipa uhai miili yenu yenye hali ya kufa; atafanya hivyo kwa njia ya Roho wake akaaye ndani yenu.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini, ikiwa Roho yake yeye aliyemfufua Yesu katika wafu anakaa ndani yenu, yeye aliyemfufua Kristo Yesu katika wafu ataihuisha na miili yenu iliyo katika hali ya kufa, kwa Roho wake anayekaa ndani yenu.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Waroma 8