Waroma 8:1-2
Waroma 8:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, sasa hakuna hukumu kwa wale ambao katika maisha yao wameungana na Kristo. Maana, sheria ya Roho iletayo uhai kwa kuungana na Kristo Yesu imenikomboa kutoka katika sheria ya dhambi na kifo.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu. Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.
Shirikisha
Soma Waroma 8Waroma 8:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Sasa, basi, hakuna hukumu ya adhabu juu yao walio katika Kristo Yesu. Kwa sababu sheria ya Roho wa uzima ule ulio katika Kristo Yesu imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.
Shirikisha
Soma Waroma 8