Waroma 7:8
Waroma 7:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa kuitumia hiyo amri, dhambi ilipata fursa ya kuamsha kila aina ya tamaa mbaya ndani yangu. Maana, bila sheria dhambi ni kitu kilichokufa.
Shirikisha
Soma Waroma 7Waroma 7:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini dhambi ilipata nafasi kwa ile amri, ikafanya ndani yangu kila namna ya kutamani. Kwa maana dhambi bila sheria imekufa.
Shirikisha
Soma Waroma 7