Waroma 7:7
Waroma 7:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, tuseme basi, kwamba sheria ni dhambi? Hata kidogo! Lakini bila sheria, mimi nisingalijua dhambi ni kitu gani. Maana, nisingalijua ni nini hasa kutamani mabaya, kama sheria isingalikuwa imesema: “Usitamani.”
Shirikisha
Soma Waroma 7Waroma 7:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tusemeje, basi? Torati ni dhambi? La hasha! Lakini singalitambua dhambi ila kwa sheria; kwa kuwa singalijua kutamani, kama torati isingalisema, Usitamani.
Shirikisha
Soma Waroma 7