Waroma 7:10-11
Waroma 7:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
nami nikafa. Hiyo amri ambayo shabaha yake ilikuwa kuleta uhai, kwangu imeleta kifo. Maana, dhambi ilichukua fursa iliyopatiwa na amri hiyo, ikanidanganya na kuniua.
Shirikisha
Soma Waroma 7Waroma 7:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikaona ya kuwa ile amri iletayo uzima kwangu mimi ilileta mauti. Kwa maana dhambi, kwa kupata nafasi kwa ile amri, ilinidanganya, na kwa hiyo ikaniua.
Shirikisha
Soma Waroma 7