Waroma 7:1
Waroma 7:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu zangu, bila shaka mtaelewa yafuatayo, maana ninawazungumzia watu wanaojua sheria. Sheria humtawala mtu wakati akiwa hai.
Shirikisha
Soma Waroma 7Waroma 7:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndugu zangu, hamjui (maana nasema na hao waijuao sheria) ya kuwa torati humtawala mtu wakati anapokuwa yu hai?
Shirikisha
Soma Waroma 7