Waroma 6:6
Waroma 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Tunajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja na Kristo, ili hali ya dhambi iharibiwe, tusiwe tena watumwa wa dhambi.
Shirikisha
Soma Waroma 6Waroma 6:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mkijua neno hili, ya kuwa utu wetu wa kale ulisulubishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena
Shirikisha
Soma Waroma 6