Waroma 6:4
Waroma 6:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima.
Shirikisha
Soma Waroma 6Waroma 6:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima.
Shirikisha
Soma Waroma 6Waroma 6:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Tulipobatizwa tuliungana na kifo chake, tukazikwa pamoja naye, ili kama vile Kristo alivyofufuliwa kutoka kwa wafu kwa kitendo kitukufu cha Baba, sisi pia tuweze kuishi maisha mapya.
Shirikisha
Soma Waroma 6Waroma 6:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)

Soma Waroma 6