Waroma 6:22
Waroma 6:22 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele.
Shirikisha
Soma Waroma 6Waroma 6:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini sasa mmekwisha kombolewa kutoka utumwa wa dhambi na mmekuwa watumishi wa Mungu; faida mliyo nayo sasa ni utakatifu, na matokeo yake ni uhai wa milele.
Shirikisha
Soma Waroma 6Waroma 6:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini sasa mkiisha kuwekwa huru, na kuwa mbali na dhambi, na kufanywa watumwa wa Mungu, mnayo faida yenu, ndiyo kutakaswa, na mwisho wake ni uzima wa milele.
Shirikisha
Soma Waroma 6