Waroma 6:17
Waroma 6:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Ingawa mlikuwa watumwa wa dhambi zamani, sasa lakini – namshukuru Mungu – mmetii kwa moyo wote yale maazimio na mafundisho mliyopokea.
Shirikisha
Soma Waroma 6Waroma 6:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Mungu na ashukuriwe, kwa maana mlikuwa watumwa wa dhambi, lakini mliitii kwa mioyo yenu ile namna ya elimu ambayo mliwekwa chini yake
Shirikisha
Soma Waroma 6