Waroma 6:1-2
Waroma 6:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Tuseme nini basi? Je, tuendelee kubaki katika dhambi ili neema ya Mungu iongezeke? Hata kidogo! Kuhusu dhambi sisi tumekufa – tutaendeleaje kuishi tena katika dhambi?
Shirikisha
Soma Waroma 6Waroma 6:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tuseme nini basi? Tudumu katika dhambi ili neema izidi kuwa nyingi? Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi?
Shirikisha
Soma Waroma 6