Waroma 5:2
Waroma 5:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa imani yetu, yeye ametuleta katika hali hii ya neema ya Mungu ambamo sasa tunaishi. Basi, tunajivunia tumaini tulilo nalo la kushiriki utukufu wa Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 5Waroma 5:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ambaye kwa yeye tumepata kwa njia ya imani kuifikia neema hii ambayo mnasimama ndani yake; na kufurahi katika tumaini la utukufu wa Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 5