Waroma 5:18
Waroma 5:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, kama vile kosa la mtu mmoja lilivyoleta hukumu kwa binadamu wote, kadhalika kitendo kiadilifu cha mtu mmoja kinawapa wote uadilifu na uhai.
Shirikisha
Soma Waroma 5Waroma 5:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi tena, kama kwa kosa moja watu wote walihukumiwa adhabu, kadhalika kwa tendo moja la haki watu wote walihesabiwa haki yenye uzima.
Shirikisha
Soma Waroma 5