Waroma 5:16
Waroma 5:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Kuna tofauti baina ya zawadi ya Mungu na dhambi ya mtu yule mmoja. Maana, baada ya kosa la mtu mmoja, Mungu alitoa hukumu; lakini baada ya makosa ya watu wengi, Mungu aliwapa zawadi yake kwa kuwasamehe.
Shirikisha
Soma Waroma 5Waroma 5:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala kadiri ya yule mtu mmoja aliyefanya dhambi si kadiri ya kile kipawa; kwa maana hukumu ilikuja kwa njia ya mtu mmoja ikaleta adhabu; bali karama ya neema ilikuja kwa ajili ya makosa mengi, ikaleta kuhesabiwa haki.
Shirikisha
Soma Waroma 5Waroma 5:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Waroma 5