Waroma 5:1
Waroma 5:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Sasa, kwa vile tumefanywa kuwa waadilifu kwa imani, basi tunayo amani naye Mungu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma Waroma 5Waroma 5:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi tukiisha kuhesabiwa haki itokayo katika imani, na muwe na amani kwa Mungu, kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo
Shirikisha
Soma Waroma 5