Waroma 4:6 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 4:6 BHN (Biblia Habari Njema)
Naye Daudi asema hivi juu ya furaha ya mtu yule ambaye Mungu amemkubali kuwa mwadilifu bila kuyajali matendo yake
Shirikisha
Waroma 4 BHNWaroma 4:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama vile Daudi aunenavyo uheri wake mtu yule ambaye Mungu amhesabia kuwa na haki pasipo matendo
Shirikisha
Waroma 4 SUVWaroma 4:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kama vile Daudi ainenavyo heri yake mtu yule ambaye Mungu amhesabia kuwa na haki pasipo matendo
Shirikisha
Waroma 4 SRUVWaroma 4:6 NEN (Neno)
Daudi pia alisema vivyo hivyo aliponena kuhusu baraka za mtu ambaye Mungu humhesabia haki pasipo matendo
Shirikisha
Waroma 4 NEN