Waroma 4:4 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 4:4 BHN (Biblia Habari Njema)
Mfanyakazi hulipwa mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake.
Shirikisha
Waroma 4 BHNWaroma 4:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini kwa mtu afanyaye kazi, ujira wake hauhesabiwi kuwa ni neema, bali kuwa ni deni.
Shirikisha
Waroma 4 SUVWaroma 4:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Lakini kwa mtu afanyaye kazi, ujira wake hauhesabiwi kuwa ni neema, bali kuwa ni deni.
Shirikisha
Waroma 4 SRUVWaroma 4:4 NEN (Neno)
Basi mtu afanyapo kazi, mshahara wake hauhesabiwi kwake kuwa ni zawadi, bali ni haki yake anayostahili.
Shirikisha
Waroma 4 NEN