Waroma 3:21
Waroma 3:21 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Lakini sasa, haki ya Mungu imedhihirishwa pasipo sheria, ambayo Sheria na Manabii wanaishuhudia.
Shirikisha
Soma Waroma 3Waroma 3:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini sasa, njia ya Mungu ya kuwakubali watu kuwa waadilifu imekwisha dhihirishwa, tena bila kutegemea sheria. Sheria na manabii hushuhudia jambo hili.
Shirikisha
Soma Waroma 3Waroma 3:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini sasa, haki ya Mungu imedhihirika pasipo sheria; inashuhudiwa na Torati na Manabii
Shirikisha
Soma Waroma 3