Waroma 3:10-11
Waroma 3:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama Maandiko Matakatifu yasemavyo: “Hakuna hata mmoja aliye mwadilifu! Hakuna mtu anayeelewa, wala anayemtafuta Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 3Waroma 3:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kama ilivyoandikwa, ya kwamba, Hakuna mwenye haki hata mmoja. Hakuna afahamuye; Hakuna amtafutaye Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 3