Waroma 2:9
Waroma 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mateso na maumivu yatampata binadamu yeyote atendaye uovu. Yatawapata Wayahudi kwanza na watu wa mataifa mengine pia.
Shirikisha
Soma Waroma 2Waroma 2:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
dhiki na shida juu ya kila nafsi ya mwanadamu atendaye uovu, Myahudi kwanza na Mgiriki pia
Shirikisha
Soma Waroma 2