Waroma 2:4
Waroma 2:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Au labda unaudharau wema wake mkuu, uvumilivu wake na saburi yake, bila kutambua kwamba wema wake huo una shabaha ya kukuongoza upate kutubu?
Shirikisha
Soma Waroma 2Waroma 2:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Au waudharau wingi wa wema wake na ustahimili wake na uvumilivu wake, usijue ya kuwa wema wa Mungu wakuvuta upate kutubu?
Shirikisha
Soma Waroma 2