Waroma 2:25
Waroma 2:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Kutahiriwa kwako kutakuwa na maana kama ukiitii sheria. Lakini kama unaivunja sheria, basi, ni afadhali ungalibaki bila kutahiriwa.
Shirikisha
Soma Waroma 2Waroma 2:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana kutahiriwa kwafaa kama ukiwa mtendaji wa sheria, lakini ukiwa mvunjaji wa sheria kutahiriwa kwako kumekuwa kutotahiriwa.
Shirikisha
Soma Waroma 2