Waroma 2:14
Waroma 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mathalani: Watu wa mataifa mengine hawana sheria; lakini kila wanapotimiza matakwa ya sheria wakiongozwa na dhamiri zao, wao wenyewe wanakuwa kipimo cha sheria ingawa hawaijui sheria.
Shirikisha
Soma Waroma 2Waroma 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana watu wa Mataifa wasio na sheria wafanyapo kwa tabia zao yaliyo ndani ya torati, hao wasio na sheria wamekuwa sheria kwa nafsi zao wenyewe.
Shirikisha
Soma Waroma 2