Waroma 2:10-11
Waroma 2:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mungu atawapa utukufu, heshima na amani wale wanaotenda mema; Wayahudi kwanza, na watu wa mataifa mengine pia. Maana Mungu hambagui mtu yeyote.
Shirikisha
Soma Waroma 2Waroma 2:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali utukufu na heshima na amani kwa kila mtu atendaye mema, Myahudi kwanza na Mgiriki pia; kwa maana hakuna upendeleo kwa Mungu.
Shirikisha
Soma Waroma 2