Waroma 2:10
Waroma 2:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mungu atawapa utukufu, heshima na amani wale wanaotenda mema; Wayahudi kwanza, na watu wa mataifa mengine pia.
Shirikisha
Soma Waroma 2Waroma 2:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali utukufu na heshima na amani kwa kila mtu atendaye mema, Myahudi kwanza na Mgiriki pia
Shirikisha
Soma Waroma 2