Waroma 11:9 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 11:9 BHN (Biblia Habari Njema)
Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe mtego wa kuwanasa, waanguke na kuadhibiwa.
Waroma 11:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Daudi asema, Meza yao na iwe tanzi na mtego, Na kitu cha kuwakwaza, na malipo kwao
Waroma 11:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Na Daudi asema, Meza yao na iwe tanzi na mtego, Na kitu cha kuwakwaza, na malipo kwao
Waroma 11:9 NEN (Neno)
Naye Daudi anasema: “Karamu zao na ziwe tanzi na mtego wa kuwanasa, kitu cha kuwakwaza waanguke, na adhabu kwao.