Waroma 11:5 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 11:5 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, ndivyo ilivyo pia wakati huu wa sasa: Ipo idadi ya waliobaki ambao Mungu aliwateua kwa sababu ya neema yake.
Waroma 11:5 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ni vivi hivi wakati huu wa sasa, yako mabaki waliochaguliwa kwa neema.
Waroma 11:5 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi ni vivi hivi wakati huu wa sasa, yako mabaki waliochaguliwa kwa neema.
Waroma 11:5 NEN (Neno)
Vivyo hivyo pia, sasa wapo mabaki waliochaguliwa kwa neema ya Mungu.