Rukia hadi maudhui

Waroma 11:30 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 11:30 BHN (Biblia Habari Njema)

Hapo awali nyinyi mlikuwa mmemwasi Mungu, lakini sasa mmepata huruma yake kutokana na kuasi kwao.

Waroma 11 BHN

Waroma 11:30 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa maana kama ninyi zamani mlivyomwasi Mungu, lakini sasa mmepata rehema kwa kuasi kwao

Waroma 11 SUV

Waroma 11:30 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa maana kama ninyi zamani mlivyomwasi Mungu, lakini sasa mmepata rehema kwa kuasi kwao

Waroma 11 SRUV

Waroma 11:30 NEN (Neno)

Kama vile ninyi wakati fulani mlivyokuwa waasi kwa Mungu lakini sasa mmepata rehema kwa sababu ya kutokutii kwao

Waroma 11 NEN