Waroma 11:1 - Linganisha Matoleo Yote
Waroma 11:1 BHN (Biblia Habari Njema)
Basi, nauliza: Je, Mungu amewakataa watu wake? Hata kidogo! Mimi binafsi ni Mwisraeli, mzawa wa Abrahamu, wa kabila la Benyamini.
Shirikisha
Waroma 11 BHNWaroma 11:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, nauliza, Je! Mungu aliwasukumia mbali watu wake? Hasha! Kwa kuwa mimi nami ni Mwisraeli, mmoja wa wazao wa Ibrahimu, mtu wa kabila ya Benyamini.
Shirikisha
Waroma 11 SUVWaroma 11:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi, nauliza, Je! Mungu aliwasukumia mbali watu wake? La hasha! Kwa kuwa mimi nami ni Mwisraeli, mmoja wa wazawa wa Abrahamu, mtu wa kabila la Benyamini.
Shirikisha
Waroma 11 SRUVWaroma 11:1 NEN (Neno)
Basi nauliza: Je, Mungu amewakataa watu wake? La, hasha! Mimi mwenyewe ni Mwisraeli, tena uzao wa Abrahamu kutoka kabila la Benyamini.
Shirikisha
Waroma 11 NEN