Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 10:3 - Compare All Versions

Waroma 10:3 BHN (Biblia Habari Njema)

Maana hawakufahamu jinsi Mungu anavyowafanya watu wawe waadilifu, na wamejaribu kuanzisha mtindo wao wenyewe na hivyo hawakuikubali njia hiyo ya Mungu ya kuwafanya wawe waadilifu.

Shirikisha
Waroma 10 BHN

Waroma 10:3 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa maana, wakiwa hawaijui haki ya Mungu, na wakitaka kuithibitisha haki yao wenyewe, hawakujitia chini ya haki ya Mungu.

Shirikisha
Waroma 10 SRUV

Waroma 10:3 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa maana, wakiwa hawaijui haki ya Mungu, na wakitaka kuithibitisha haki yao wenyewe, hawakujitia chini ya haki ya Mungu.

Shirikisha
Waroma 10 SUV

Waroma 10:3 NEN (Neno)

Kwa kuwa hawakuijua haki ya Mungu, wakatafuta kuweka haki yao wenyewe, hawakujitia chini ya haki ya Mungu.

Shirikisha
Waroma 10 NEN