Waroma 10:13-14
Waroma 10:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Maandiko Matakatifu yasema: “Kila mtu atakayeomba kwa jina la Bwana, ataokolewa.” Basi, watamwombaje yeye ambaye hawamwamini? Tena, watamwaminije kama hawajapata kusikia habari zake? Na watasikiaje habari zake kama hakuna mhubiri?
Shirikisha
Soma Waroma 10Waroma 10:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka. Basi wamwiteje yeye wasiyemwamini? Tena wamwaminije yeye wasiyemsikia? Tena wamsikieje pasipo mhubiri?
Shirikisha
Soma Waroma 10Waroma 10:13-14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka. Basi wamwiteje yeye wasiyemwamini? Tena wamwaminije yeye wasiyemsikia? Tena wamsikieje pasipo mhubiri?
Shirikisha
Soma Waroma 10