Waroma 10:12
Waroma 10:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Jambo hili ni kwa wote, kwani hakuna tofauti kati ya Wayahudi na wasio Wayahudi; Bwana wa wote ni mmoja, naye ni mkarimu sana kwao wote wamwombao.
Shirikisha
Soma Waroma 10Waroma 10:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Mgiriki; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye ukarimu mwingi kwa wote wamwitao
Shirikisha
Soma Waroma 10