Waroma 10:1
Waroma 10:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu zangu, ninataka na kutazamia kwa moyo wangu wote hao wananchi wenzangu wakombolewe. Tena nawaombea kwa Mungu daima.
Shirikisha
Soma Waroma 10Waroma 10:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndugu zangu, nitakayo sana moyoni mwangu, na dua yangu nimwombayo Mungu, ni kwa ajili yao, ili waokolewe.
Shirikisha
Soma Waroma 10