Waroma 1:7
Waroma 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nawaandikia nyinyi nyote mlioko Roma ambao Mungu anawapenda, akawateua muwe watu wake. Nawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watakatifu. Neema na iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma Waroma 1