Waroma 1:5-6
Waroma 1:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa njia yake, mimi nimepewa neema ya kuwa mtume, ili kwa ajili yake niwaongoze watu wa mataifa yote wapate kuamini na kutii. Nyinyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa muwe watu wake Yesu Kristo.
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ambaye katika yeye tulipokea neema na utume ili mataifa yote wapate kujitiisha kwa imani, kwa ajili ya jina lake; ambao katika hao ninyi mmekuwa wateule wa Yesu Kristo
Shirikisha
Soma Waroma 1