Waroma 1:24
Waroma 1:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa sababu hiyo, Mungu amewaacha wafuate tamaa mbaya za mioyo yao na kufanyiana mambo ya aibu kwa miili yao.
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.
Shirikisha
Soma Waroma 1