Waroma 1:21-22
Waroma 1:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Ingawa wanajua kuna Mungu, lakini hawampi heshima anayostahili, wala hawamshukuru. Badala yake, fikira zao zimekuwa batili na akili zao tupu zimejaa giza. Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza. Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika
Shirikisha
Soma Waroma 1