Waroma 1:16
Waroma 1:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Sioni aibu kutangaza Habari Njema; yenyewe ni nguvu ya Mungu inayowaokoa wote wanaoamini: Wayahudi kwanza na wasio Wayahudi pia.
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Mgiriki pia.
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia.
Shirikisha
Soma Waroma 1