Waroma 1:14-15
Waroma 1:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Ninalo jukumu kwa watu wote, waliostaarabika na wasiostaarabika, wenye elimu na wasio na elimu. Ndiyo maana ninatamani pia kuihubiri Habari Njema kwenu nyinyi mlioko huko Roma.
Shirikisha
Soma Waroma 1Waroma 1:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawiwa na Wagiriki na wasio Wagiriki, nawiwa na wenye hekima na wasio na hekima. Kwa hiyo, kwa upande wangu, mimi ni tayari kuihubiri Injili hata na kwenu ninyi mnaokaa Rumi.
Shirikisha
Soma Waroma 1