Ufunuo 8:5
Ufunuo 8:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, malaika akakichukua hicho chetezo, akakijaza moto wa madhabahuni, akakitupa duniani. Kukawa na ngurumo, sauti, umeme na tetemeko la ardhi.
Shirikisha
Soma Ufunuo 8Ufunuo 8:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na huyo malaika akakitwaa kile chetezo, akakijaza moto wa madhabahu, akautupa juu ya nchi, kukawa radi na sauti na umeme na tetemeko la nchi.
Shirikisha
Soma Ufunuo 8