Ufunuo 8:10
Ufunuo 8:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, malaika wa tatu akapiga tarumbeta yake. Na nyota kubwa ikiwaka kama bonge la moto ikaanguka kutoka mbinguni na kutua juu ya theluthi moja ya mito na chemchemi za maji.
Shirikisha
Soma Ufunuo 8Ufunuo 8:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Malaika wa tatu akapiga baragumu, nyota kubwa ikaanguka kutoka mbinguni, iliyokuwa ikiwaka kama taa, ikaanguka juu ya theluthi ya mito, na juu ya chemchemi za maji.
Shirikisha
Soma Ufunuo 8